Bookmark and Share

Al Gadhafi Anazungumza - Kiswahili

Al Gadhafi Anazungumza - Kiswahili

Image description

Muammar Al Gadhafi Anazungumza - Kiswahili

Muammar Al Gaddafi speaks Suaeli Kiswahili 

Audio |  |

Video |  | 

IAl-Gadhafi-Anazungumza

MKANGANYIKO WA PAKISTANI

19.03..2008

Wayahudi na Wamarekani hawakupendelewa na Pakistani kumiliki bomu la nuclear lakini walijikuta ghafla wakiiona Pakistani kuwa ni dola ya nuclear,..laiti ingelikua ni uwezo wao wasingeliiruhusu,wakaanza kuvilaumu vyombo vyao vya ujasusi kati yao,nawakaliita bomu la kiislamu wakidhania ni dhidi yao.Walijaribu njia zote kuizuia Pakistani kutengeneza bomu la nuclear hata waziri wa nje wa zamani wa Marekani (kisinjer) alimwambia waziri mkuu wa Pakistani wakati huo "Dhulfaqar Ali Bhuto" :(ukitengeza bomu la nuclear nitakufanya mfano kwa wengine ) .wakamnyonga "bhuto"ili mwengine asiwaze swala hilo la nuclear,wakamuondosha "dhiyalhaq" na mwishoe "Binadhir" motto wa "Bhuto" nakamba inaendelea(kama usemavyo msemo).Ni kwanini marekani na Israili hazitaki Pakistani kuwa na nuclear?


Pakistani ni dola ya kiislamu ,bali msingi wa kuwepo kwake ni uislamu,hakuna kitu cha kuiunganisha Pakistani ila uislamu,hili ndio linawafanya washikamane sana na dini kwa sababu ndio uti wa kubaki kwao.isingelikua dini ya kiislamu ummah wa Pakistani usingelikuwepo,uislamu ni msingi wa kuwepo kwao sawa na mayahudi wa bani israili.Kwa mfano China ni china bila dini,na Irani hivyohivyo na pia Uturuki lakini Pakistani hali yake ni khasa.Dini ni sababu ya kutengana na India na kuwa dola,ni kweli bomu la nuclear la  Pakistani ni la kiislamu kwani uislamu kwao ni utambulisho wa kitaifa na pia ni imani.Pakistani ina mchanganyiko mgumu wa kijamii, kuna

sindiy,panjapy,butuhary,saraiky,bulushy,hazary,makarany,kashmiry,bishtuny,hindiko,na afghany,na kuna mchanganyiko wa makabila makali kwenye mipaka ya Pakistani na afghanistani na hayafuati utawala wa  nchi zote hizo mbili,ni mchanganyiko usiokubaliana na wenye lugha tofauti,mfarakano ni mkubwa kuliko kukutana.Pakistani kama dola inakabiliwa na changamoto kikanda :kutoka Irani yakiislamu –shia,na India hindosi na budda.uislamu Pakistani haupo katika amani bali upo katika eneo la kukejeliwa  na hatari kwa akida ya kiislamu ambayo ni msingi wa ummah wa pakistanikatika kukabiliana namabuda na hindosi na mshikamano mkali wakimadhehebu,na hapa ndio pakatokea makundi yakiislamu yenye misimamo mikali nakufungamana na makabila yenye misimamo mikali huko afghanistani na alqaida na bin laden na kuwapa himaya,hayo ni makundi tofauti yenye majina mbalimbali kama kundi la kiislamu,jumuia ya maulamaa wakiislamu na ile ya maulamaa wa Pakistani …….n.k.

 

 

Bookmark and Share